operesheni kimbunga

operesheni kimbunga

Tafadhali usituharibie jina la nchi yetu. Ni Tanzani na si Tansania.

Pia hiyo ni Nomino,Lazima uanze na herufi kubwa. Na si tansania.
musee napembelesa ukiona hamujui lugha hii banchi ni tanzani
 
Ukitaka kuwakamata hao we andaa tamasha la bolingo halafu lisiwe na kiingilio....utawaona mapapaa watavyomiminika bwerere!!

Unawaalika Wenge Musica, Koffi Olomide n.k

munaanza kosa kazi kabisa,mueye munazani kama ba politicien biko na lazima ya jb ou bien
 
Mbona utata,hata sielewi

Wakimbizi wacongomani Walio kuwa wamekimbiliya inci ya chitchat huko Tchengerero/Jomba. Hawakuweza kukuta Ndani yao hata Mukimbizi mumoja Toka Tanzania kinyuma ya matamushi aliyo ya peperusha Bwana Baba V Liwali anayecukiliwa sana na raia ya CC, na anaye waza kama atapendwa ingawa anazihirisha cuki anayo zidi ya kabila zinazo Ongeya Kinyarwanda
 
Last edited by a moderator:

loba lisusu..... Hapana elewa kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom