Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Hakuna siku nilicheka sana kama ile niliposikia eti kuna Operesheni Kata Funua! Nikajiuliza hicho ni chama au kikundi gani kinachotumia maneno ya kihuni namna hiyo. Nikamkumbuka sana Dr. Slaa kwa ubunifu uliokijenga Chama chetu pendwa.
Huyo Mashinje eti ndio kaja na style hiyo! Nikasema tumekwishaaaaa! Bora tukamuangukie Dr Slaa kwa maslahi mapana ya Chama chetu ambacho kwa kweli kimeporomoka kiasi cha kusikitisha! Chama hakina Afisa Habari! Chama hakina Itikadi wala Sera ya kueleweka zaidi ya kupiga makelele na kuropoka Bungeni! Chama hakina agenda ya kueleweka kwa sasa!
TUJISAHIHISHE MAPEMA LA SIVYO MWAKA 2019 UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA TUTAAMBULIA 9% BADALA YA 26% YA MWAKA 2014. \
MFIA CHAMA-CHADEMA ASILI