Operesheni chukua Igunga ibadilishwe jina

naunga mkono hoja,operesheni okoa italeta mtizamo mzuri bila kuhitaji ufafanuzi kuliko operesheni chukua! Tunakosoa kwa lengo jema maana bado haijawa kauli mbinu rasmi.viongozi wetu ni wasikivu mkuu
 
Iwe Operesheni Komboa Igunga. Itakuwa na faida zaid kisiasa na kimantiki.

Aisee ingawa mimi nilikuwa mmoja waliokuwa wakiunga mkono Operesheni Chuku Igunga, mpaka nikaamua kupendekeza kifupi cha OCI, naiona hoja ya wazi katika pendekezo lako hili kamanda. I loved it. Inaweza kufikiriwa na wahusika nafikiri.
 
Back
Top Bottom