Operator course or OSHA course

Asante kwa ushauri mkuu. Nimeshafatilia pia kuhusu operator courses VETA shinyanga, ambako ndio nimeambiwa pia wana mitambo ya kutosha. As well as Kunduchi pia wanafundisha though kwenyewe nimeambiwa vifaa vyao ni vya kawaida compared na Shinyanga.
Mkuu naweza kupata mawasiliano yako kama ulifanikiwa kupata taarifa au kujiunga na Veta Shinyanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…