Ushauri mzuriKwa fani ulio somea nashauri ninasisitiza tena nenda ukasome NOSC 1&2, utakuja kunishukuru mkuu.
Fanya hiyo nilio kuambia na utafika mbali niamini.
NAKAZIA NUKTA HIIKwa fani ulio somea nashauri ninasisitiza tena nenda ukasome NOSC 1&2, utakuja kunishukuru mkuu.
Fanya hiyo nilio kuambia na utafika mbali niamini.
Ili kujiimarisha na kujitofautisha na wengine fanya Safety,then Driving japo basic certificate na uwe na leseni.Habari wadau, poleni na majukumu yenu. Samahani naomba mnishauri katika jambo lifuatalo. Mimi ni graduate katika fani fani ya Mazingira. Nimeshasota sana mtaani pasipo kuwa na kibarua au ajira kwa muda mrefu. Hali ambayo imenifanya kuwa oudated sana katika ushindani wa soko la ajira.
Hivyo ili kujihami nina option mbili za kuongeza kitu kwenye career yangu. Option ya kwanza ni kufanya short course OSHA hususani NOSHC 1, option ya pili ni kufanya short course ya kuendesha mitambo mfano ESCAVATOR, WHEEL LOADER AU MOTOR GRADER. Naomba ushauri kutoka kwenu au kwa mtu mwenye experience, kati ya hizo course ipi niipe kipaumbele ambayo itanipa fursa ya kupambana na soko la ajira. Natanguliza shukrani kwa ushauri wako. Asante
Sema hao jamaa kozi zao zinaniacha hoi sana unakuta kozi ya wiki 2 tu Ada yake 800k duhIli kujiimarisha na kujitofautisha na wengine fanya Safety,then Driving japo basic certificate na uwe na leseni.
Mkuu, kwani wewe unaona hapo nini cha ajabu??Sema hao jamaa kozi zao zinaniacha hoi sana unakuta kozi ya wiki 2 tu Ada yake 800k duh
Huoni Ajabu mkulungwa? Anyway tunatofautiana that's why. Binafsi naona kwa wafanyakazi wanaoenda kuongezea ujuzi it's fine lkn kwa freshers ni pesa ndefu sana imagine mtu amemaliza 4/6 anataka akapige safety course hyo pesa ni kubwa sana.Mkuu, kwani wewe unaona hapo nini cha ajabu??
Ipo hivi....Huoni Ajabu mkulungwa? Anyway tunatofautiana that's why. Binafsi naona kwa wafanyakazi wanaoenda kuongezea ujuzi it's fine lkn kwa freshers ni pesa ndefu sana imagine mtu amemaliza 4/6 anataka akapige safety course hyo pesa ni kubwa sana.
Linganisha hata na viwango vya Veta mkulungwa!
IF that's a case why cost all that money?Ipo hivi....
OSHA hawakufundishi chochote kipya, bali wao wanakupa misingi ya safety katika kile ambacho unakitambua mkuu.
Hope umenielewa njema..🤔
Asante kwa ushauri mkuu. Nimeshafatilia pia kuhusu operator courses VETA shinyanga, ambako ndio nimeambiwa pia wana mitambo ya kutosha. As well as Kunduchi pia wanafundisha though kwenyewe nimeambiwa vifaa vyao ni vya kawaida compared na Shinyanga.Umeshauriwa vizuri kwenda kuchukua Nosch 1& 2 lakini pia wamesahau kuwa hiyo taaluma tayari unayo na pia bado haijazalisha kitu mie nilidhani ungeamua kitu kingine ambacho kinakupatia uwanda mpana wa kusaka pesa hizo kozi za osha zipo tu.
,kama utaoparate ni kitu ambacho kingekufungulia career nyingine ya ziada,ambayo unaweza fanya kazi site kama Road,mining na baadhi ya project nyingi za ujenzi
Huko huko degree yako itaonekana na itauzika kirahisi
Mkuu kama hautojali nenda kawe operator
IHET au
Veta shinyanga
Na Ratiba ya shinyanga ni tarehe 8 mwez 7 inaanza kwa mwaka huu wamebakiza intake 2Asante kwa ushauri mkuu. Nimeshafatilia pia kuhusu operator courses VETA shinyanga, ambako ndio nimeambiwa pia wana mitambo ya kutosha. As well as Kunduchi pia wanafundisha though kwenyewe nimeambiwa vifaa vyao ni vya kawaida compared na Shinyanga.