Operation UKUTA dalili za mapinduzi?


Kuna kitu hakijui huyo nilitaka nimwage hapa.Lakini kuna mtu kanistua kaniambia niache.Anyway tusubiri tarehe hiyo tuone hayo makalio yatayojitokeza barabarani
 
alkaenda...😀😀😀
 
Yaani tatizo ni wachumia Tumbo hamna utashi wa dhatim wa mapinduzi hilo ndio tatizo kubwa sana na ndio maana hata wananchi hawana msisimko nao huo ukuta wao. Mh. Mangula amesema vizuri sana wakajenge ukuta vyumba vya madarasa na nyumba za walimu kwani ukuta hauhitajiki mabarabarani ni wastage of precious time nya Watanzania!
 
Hii UKUTA inawatetemesha sana watawala. Nimeona leo 'walimtuma' Lyatonga pale Clouds FM kuwatisha vijana.
 
Siku za mwanzo kabisa kuhusu operation hii ya ukuta baada ya kutangazwa na Freeman Mboe, Kuna Mr mmoja ambae wame mban, alikua anaitwa Mpunilevel, aliandika kama ulivyoandika thread hiyo iliondolewa
Ni kweli hili likichekewa ni jaribio la Mapinduzi pasi na shaka.
Serikali isiruhusu operation hii kwa gharama yoyote ile.

Naunga hoja
 
Nina mashaka na uwezo wako wa kufikiri.
MUNGU IBARIKI TANZANIA YETU.
 
Hakuna atakayejaribu kuandamana Sept 1. Maana vilema wa kujitakia watakuwa wengi siku hiyo
 
Bila ya msaada wa nchi za magharibi, NATO, hakuna nchi yeyote, iwe Tunisia, Egypt, Libia, Syria, Afghanistan, Iraq. Kooote Huku, hakuna wananchi bila ya msaada toka nje mnaweza Fanya huo ujinga, wadanganye vipofu
 
Wasijaribu kuandamana watavunjwa viuno washindwe kutembea,wakiitisha maandamano mengine watakuwa wanaandamana kwa kutambaa.
 
Hakuna atakayejaribu kuandamana Sept 1. Maana vilema wa kujitakia watakuwa wengi siku hiyo
Hivi haya yaliyotokea Leo Dar na jana na juzi huko Mwanza yanatofauti gani na sept1?
Halafu tuepuke kutishia kitoto eti watu watavunjwa miguu! Unadhani fujo zikitokea ni Chadema pekee watakao umia? Ni watanzania, wakubwa kwa watoto , mali zetu kuharibika na pangine vifo vya yeyote wakiwapo polisi. Hizo siasa za upendeleo za kiccm zitatuponza nchi hii.
 
Umeongea ukweli ila umekosea kujua kuwa vyombo vya dola haviwezi kuzuia maandamano namaanisha nguvu ya umma.kikubwa ambacho ungepaswa kushauri ni serikali na vyombo vya dola vikutane na vyama vua siasa kuzungumza na kujadili msitakabali wa nchi sio kupambana na kuandaa silaha.bunduki hazijawai kushinda nguvu ya umma.tuwashauri ccm,chadema polisi na serikali wakae wazungumze.majadiliano ni kitu muhimu.usiwe na hofu kwa kuweka mifano ambayo haifanani.na.nchi hii.misri,siria
 

ushauri mzuri sana huu mkuu. nchi yetu sote tuijenge
 
Uvunjifu gani huo unaousema? Kwa hiyo walio madarakan hawana uchu wa madaraka?? Acheni kutisha watu. Acheni watu watoe mawazo yao...naona mnayakana maneno mliokuwa mnaimba wakati wa kampeni....
Waacheni waandamane eee.....
watu wangekuwa na uchu wa madaraka wasingeshinda kwa zaidi ya kura million mbili...CCM naamini walishinda kihalali na JPM alichaguliwa kuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.Hawa wana UKUTA ni wabunifu ambao ubunifu wao hauna mantiki,Mimi nawaasa Chadema warudi wakashughulike na matatizo ya wananchi kwa kuwatumikia kufanya kazi,Sio kufikilia kushika dola. Tanzania ni nchi tofauti na nchi nyingine mwenye tamaa ya kushika dola hawezi kuipata dola kirahisi.
 
Polisi msifanye makosa sept 1., wazuieni haraka haraka Chadema kuandamana.
Ukivunja nyumbu kiuno au miguu kuna vyeo vyenu vinawasubiri.
 
najiuliza umelipwa ngapi leo na ccm?
 
Haki yao kikatiba,ataewazuia ndio atakuwa kavunja katiba na ndio mwanzilishi wa machafuko yote
 
Hivi Nchi hii ina wale wazee wenye busara bado ?? Yaani mzee mmoja akisimama atoe neno lake taifa zima linapona ,wapo kweli ??
Kama wapo wanatimiza wajibu wao ?

Hebu atokee mzee mmoja aseme jambo taifa lipone
 
Kama katika maandamano hayo Mbowe atakuwa yeye, mkewe na watoto wake

lowassa awe yeye na mkewe na watoto wake

tundu lissu yeye na familia yake na ndugu zake mjomba shangazi na babu

lema yeye na mke wake na ndugu zake


profesa jay na mke wake (kama anae) na ndugu zake

ndesamburo na ndugu zake wote wa kule moshi

mzee mtei na watoto wake na ndugu zake kina haika

HALAFU WAWE KATIKA MSTARI WA MBELE wa maandamano hayo
hapo nitawaona wana akili na kweli wanataka mapinduzi


ila sio kuwatanguliza akina nanii mbele huku wao wako Dubai wanakunywa juice





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…