Operation tigi tigi yagonga mikutano mia na saba

Operation tigi tigi yagonga mikutano mia na saba

Joined
Sep 10, 2013
Posts
335
Reaction score
478
Jana tukiwa Kisesa tumekamilisha jumla ya mikutano mia moja na saba tangu kuanza kwake,mafanikio ni makubwa sana kwa maana kwamba tumevuna maelfu ya wanachama na tumeimarisha chama kwa maana ya uongozi kuanzia ngazi ya chini kabisa yaani misingi.
Leo tuko jimbo la Kishapu na mapambano yanasonga mbele kwa kasi ya ajabu.Tuombeeni,mtandao ukitulia nitawarushieni picha kuonyesha jinsi magamba yanavyoteketea...nakishukuru chama changu cha chadema kwa kuniamini na kunipa fursa hii adimu,nilitamani siku zote kuwa THE VOICE OF THE VOICELESS ...nawasilisha.
 
safi tulianza na Mungu tuko na Mungu na ttamaliza na Mungu.

swissme
 
Nimepoteza namba yako kamanda, simu yangu ilifuta namba zote, unaweza ku-pm tukaongea na kukuongezea nguvu kiasi fulani. Keep it up!
 
pamoja kamanda tutashinda tu nikuamini unafanya kazi kubwa
 
Ewe sauti ya WANYONGE pambana,Mungu akulinde dhidi ya kila aina ya hila.
 
Hao akina mawazo wanatumika kama k.o.n.d.o.m baada ya matumizi wataona hata kinyaa kumshika.Mwenzake zito kastuka kutumikia wachaga na kajiweka pembeni.
 
Hao akina mawazo wanatumika kama k.o.n.d.o.m baada ya matumizi wataona hata kinyaa kumshika.Mwenzake zito kastuka kutumikia wachaga na kajiweka pembeni.

Hizo hoja zilishapitwa na wakati na zilisha shindwa kuidhuru chadema ndio kwanza inaendelea kuwa maarufu. Zitto hana jipya kwa sasa alishtukiwa na ulafi wake wa hela za ccmakatimuliwa, lakinu kwa vile ccm sera yenu ni kuhifadhi wahalifu hatuwashangai kama mnavyo muhifandhi chenge and co.ptuuuuu ccm.
 
Dili nyingine ya kupiga hela kwa viongozi wa chadema.Aisee wachaga ni noma.

Kamanda Mawazo naye mchaga? utakuwa umefilika kichwani we we so bure! sidhani kama unastahili kulipwa buk7 kwa huu uharo wako!
 
Hao akina mawazo wanatumika kama k.o.n.d.o.m baada ya matumizi wataona hata kinyaa kumshika.Mwenzake zito kastuka kutumikia wachaga na kajiweka pembeni.

Huu uharo wako peleka Lumumba, Tz ya Leo sio ile ya miaka ya 90.
 
Ngosha Mawazo, ponejaga ngalu nulu kapicha kamo duhu ngosha! tulihamo mpaga abhanywanabha bhipele insi yise
 
Back
Top Bottom