Zikipikwa vizuri ni tamu sana, tena unaweza ukatamani ule kila Siku hasa Kwa wali wa nazi! Kuna namna ya kuzipika ili ziwe Kwenye radha Yake ya asili, tena zikichemshwa Kwa Maji kidogo kidogo na chumvi kiasi na kukatia kitunguu na nyanya kipande nusu Kwa mbali yani Hata usipoweka mafuta ya kupikia wala chochote Kwa wali ni tamu sipati kukwambia! [emoji3][emoji3]