Opera Min Next inafanya kazi vizuri, ila nikizima simu, nikaiwasha tena, huwa haifunguki, inabidi ni-install upya. Niki-install upya na kuifungua automatically narudi kwenye ukurasa nilipokuwa. Natumia Nokia E61!, naomba msaada nini tatizo. Ni hayo tu!