Opera Heist: Uhalifu Uliokamilika

Inaonekana kwa mbali.
Wangetangaza dau nono wangempata.
I mean nimegusia uwepo na matumizi ya taswira yake... Ila nimejarabu kuipata nimeshindwa zipo za hiyo muvi ambazo sina uhakika kama ndio iloyotumiwa kwenye uchunguzi wake
 
I mean nimegusia uwepo na matumizi ya taswira yake... Ila nimejarabu kuipata nimeshindwa zipo za hiyo muvi ambazo sina uhakika kama ndio iloyotumiwa kwenye uchunguzi wake
Ahaa sawa.
Kuna story nyingine nisubirie au niamke zangu?
 
@koncho77
 
Officer siku nyingine uwe una tutag na ss..., Manake ndio vilevi vyetu na sisi, story zinazokupa usiriasi Kama hivi
 
Lakini naona kama vile wametumia resources nyingi na muda mwingi...
Angalia gharama za agents kuishi dubai zaidi ya mwaka kumtafuta jamaa mmoja...
Nadhani wenzetu hawaangalii gharama wanajitahidi kufanikisha upelelezi wao.
Na kesi kama hizo zikifanikiwa na mtuhumiwa kupatikana nilisikia ni bingo watu wanaweza pandishwa vyeo nk..
Yawezekana kesi ya kuku ikavaliwa njuga hatari japo kibongo bongo inaweza isifike popote.
 
Sina nyongeza ila kwa wenzetu mwizi wa namna hiyo ni resources pia... Kukamatwa kwake ni kuzuia uhalifu wa aina hiyo kutokea tena ama wao pia kujifunza mbinu za huyo jamaa na mipango yake mingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…