Deepseak binafsi simshauri mtu. Ni ya hovyo.
Enzi zile imetoka ikawa maarufu sana, nilikua naijaribu na task za kawaida inanipa majibu ya ajabu ajabu sana wakati huo huo same task nikiipa chat GPT inanipa majibu yamenyooka.
Pia siioendi kwa sababu ya kua sawa na duplicate ya chatgpt, response zake ni chatgpt like..
At least now grok imeanza kunivutia kidogo hasa kwenye upande wa picha. Grok sasa kwenye picha inapambana na midjourney.
Binafsi natumia hizi.
1. Chatgpt
2. Gemini
3. Grok.
Hizo zinanitosha kabisa.