NANGA WA KWATA
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 346
- 232
HIVI NI SAHIHI KUAPPLY DIRECT DEGREE CHUONI KAMA WANAVYOFANYA OPEN UNIVERSITY KWA MWAKA HUU AU NI WEZI??
haifungua ndoo nini???Mbona nikiingia haifungua?
upo serious wwYani niki ingia kwenye hiyo link haifunguki
Ulitaka ku download moja kwa moja hiyo guidebook bonyeza Hapa: http://cas.tcu.go.tz/assets/images/Undergraduare_Admission_Guidebook_2016_2017.pdfYani niki ingia kwenye hiyo link haifunguki
nizilezile kama za tcucutts of point kwa open universty ni ngap ndugu zang

Ikiwa ni wezi na wewe mpuuzi wao.HIVI NI SAHIHI KUAPPLY DIRECT DEGREE CHUONI KAMA WANAVYOFANYA OPEN UNIVERSITY KWA MWAKA HUU AU NI WEZI??
umeongea logicIkiwa ni wezi na wewe mpuuzi wao.
TCU anachofanya ni kupangia wanafunzi chuo na si kudahili, UDSM wakisema hawakutaki basi TCU hana la kusema.
Ila ndo ivo FORM 6 kila wakiongezeka na wapuuzi wanaongezeka.
Open University wanadahili kama chuo na kuthibitishwa na TCU na kama ulivosema si wezi.