Ndugu zangu naomba mwenye kujua anisaidie kuhusu ada ya post graduate diploma ya education Open na kama wameanza udahili pia na courses za kusoma kwa mtu Wa BA Economics.
ndugu ngasengu, ada ya pgde ni tsh 1.8 milion hadi unamaliza (mihula miwili). kozi inaanza mwisho wa mwezi wa tisa. muda wa kuomba uliisha may 30. mimi mwenyewe niliomba kuwa admitted na nishajibiwa na kukubali maombi yangu ya kujiunga na pgde mwaka huu wa masomo wa 2014/15.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.