Konseli Mkuu Andrew
JF-Expert Member
- May 10, 2013
- 748
- 887
tunabishana? course unit moja ni elfu 60,000/= kwa distance learning na elfu 90,000/= kwa face to face teachinghiyo ni hesabu yako Open univeristy ina gharama kubwa sana kuliko unavyo fikiri zipo course ukauta zina unit 3 na kila unit ni 90000 cha msingi ujipange tu otherwise utachukua ata miaka 5 kumaliza