Habari wadau, mko poa? Naomba kujuzwa machache kuhusu chuo kikuu hulia cha Tanzania , nahitaji kujiunga na Undergraduate programme je mihula yake ipoje? Inaanza mwezi 11 Kama vyuo vingine vya Tz? Na ways of applications zipoje lazima zipitie TCU pale dirisha linapofunguliwa au unaweza ukaomba direct chuoni bila kusubili dirisha la maombi?