Open University of Tanzania website HACKED!

Open University of Tanzania website HACKED!

Joined
Jan 3, 2010
Posts
16
Reaction score
3
Naomba kusaidiwa kwa hili, leo kila nikifungua website ya Open University of Tanzania yaani www.out.ac.tz kinachokuja ni muziki wa kiarabu.

Nisaidieni niweze kufungua web hiyo.

attachment.php
 

Attachments

  • hacked.jpg
    hacked.jpg
    37.4 KB · Views: 624
Hivi wana department ya IT? Ina bajeti? Inafanya kazi gani?
 
Daaah kweli tz yetu kila kitu ovyo kabsa,
 
Lazima Watakuwa UAMSHO

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hata ya tcu ilishapitiwa na hao hackers!!! so sishangai hii ndo tz bwana...kibish life linasonga....
 
mbona kwa hapa bongo ni jambo la kawaida tu, website za wizara ya afya,TCU,OUT na kuna wizara nyingine kama 2 hivi zimenitoka, kawaida sana hilo jambo hata wa ki hack watapata nini huko???
 
Back
Top Bottom