Open space zinaondoka tu

Open space zinaondoka tu

Yaani pale drive in pageuke kuwa kiwanja Cha watu ila imenisikitisha Sana Tulikuwa tunacheza mpira pale
Mm biafra nayo imenisikitisha tumecheza sana ndondo pale,team care,super tanker,back wizard,5 star wote tulikuwa tunacheza tunakipiga

Ova
 
Pote pamenigusa hapo Biafra palikuwa ndio uwanja kama wa nyumbani
Nyumbani kule mafere,nyuma ya mango garden kuna uwanja ambao tunafanyaga mazoezi walikujaga wachina na watu wa manispa walitaka kuweka vifaa vyao na kumwaga vifusi mbn palichimbika
Nashukuru kule kuna wakomavu ila tungelegea wangechkua eneo lile
Ndy wachina wakaenda kutumia eneo la vijana mango garden si la ccm
Hawa watu wana mambo ya kipuz sana

Ova
 
Pote pamenigusa hapo Biafra palikuwa ndio uwanja kama wa nyumbani
Enzi hizo beki kitasa wa black wizard ya block 41
Ahh nyuma ilikuwa hupiti
😄 sema siku kikinuka knakuka kweli 😄
Nkizikumbuka mechi za ndondo za kihuni ahh napata memories nyingi

Ova
 
Back
Top Bottom