Open space zinaondoka tu

Open space zinaondoka tu

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
93,927
Reaction score
132,247
Niaje wadau, naona sahivi huko maeneo ya wazi yanaondoka

Biafra ilipondoka pembeni yake mbele ya chuo kikuu huria yalipokuwa yanapaki ma coaster special washazungushia bati, coaster zimeoondolewa

Haya ukija ule uwanja wa wazi opposite na drive in zamani sahv ofisi za tigo, eneo nalo limezungushiwa mabati
Hapo watu walikuwa wanafanya mazoezi, hafla matamasha ya makampuni walikuwa wanafanya hapo
Picha hizi ni kwa hisani ya mdau wangu amentumia
20260401_093731.jpg
20260401_093722.jpg
IMG-20260401-WA0004.jpg
 
Iliniuma viwanja vya ABC TEMEKE jiran na taa nyekundu vijana walikuwa wanapata maeneo ya kucheza jion leo hii pamejengwa magodown hamna hata pa kuweka tako
Huko maeneo yote ya wazi
Yanachukuliwa,watoto hata sehemu za kucheza,watubkupumzika
Kufanya mazoezi hakuna
Hivi serikali inawafikiria watu kweli

Ova
 
Nafikiri ni nchi nzima,Kahama palikuwepo na basketball court kule Nyahanga mtaa wa uzunguni hadi mashindano ya basketball ngazi ya mkoa fainali zilifanyika pale ila kwa sasa pana ghorofa pale.
 
Back
Top Bottom