Open letter to jane corbin of bbc

Open letter to jane corbin of bbc

Ahahahahaha! Dozi imewakolea? au bado? Tanzania Tukitaka kuwaumbua tunawaumbua sana. Na hata kipigo mnaweza kuchezea vile vile.

Kwa maneno tu mnaweza hata kumpiga mmarekani. I can guarantee you have never even gone through JKT, lakini vita ya kwenye laptop uneweza.
 
kweli wewe unamatatizo hata hujui wahutu ni wangapi rwanda? itabidi pia ufanye utafiti hao wahutu walikufa kivipi? je ilikua Genocide? au walifia katika mapigano? kumbuka watusi wao wakati wakichinjwa hawakua na silaha wala hawakua wakigombana na serikali ya wahutu.


maneno toka Igisobanuro cy'urupfu yaliyosababisha muimbaji KIZITO MIHIGO AFUNGWE.

"There is no such a thing as "good death". Be it by genocide or war. Slaughtered in revenge killings. Perished in a accident or died from illness. The dead loved ones, wherever they are, are praying for us. There is no worst thing than death. Even though Genocide made me an orphan. But it cannot make me lose empathy for others. They also suffered from crimes, not qualified as genocide. Those brothers and sisters are, too, humans. I pray for them. Those brothers and sisters are, too, humans. I remember them."
 
Dear brothers and sisters of Rwanda I always I feel concern with your affairs,Just to say Hakuna marefu yasiyo na ncha-Time will give every thing into light.As you grow up,please FRIEND with Tanzania,You will find peacefull solutions in your country.
 
Kwa maneno tu mnaweza hata kumpiga mmarekani. I can guarantee you have never even gone through JKT, lakini vita ya kwenye laptop uneweza.

Kwa hiyo Wewe umeenda jeshi la kupigana kwa kutumia keyboard......LOL
Umesahau kuweka trademark yenu, Hutu, FDLR, Interamwe....... Duh, kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom