Oparesheni Delete CCM Jimbo La Urambo

Oparesheni Delete CCM Jimbo La Urambo

Chademakwanza

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
6,346
Reaction score
1,872
Baada ya jana kufanya mikutano mitatu ktk kata ya songambele na kuzindua msingi mmoja kati ya 150 Ambayo tumepanga kuizindua katika Jimbo hili.

Leo ikiwa ni siku ya nne toka tuanzishe..oparesheni delete Ccm ya katika Jimbo la urambo asubuhi ya leo tulikuwa ktk kata Vumilia tumepiga mikutano mitano na kuzindua misingi mitano katika vijiji vya uhuru,vumilia,motomoto,mlangale na chameleon na Baadae jioni tukamalizia mkutano urambo mjini ktk viwanja vya mwananchi square tukiongozwa na Kamanda Samwel Ntakamulena, Leonald Mapolo(watiania ubunge urambo) Julius J Mwita (mwenyekiti jimbo) na makamanda wengine

Kesho tutakuwa kata ya ukondamoyo

Hakuna kulala mpaka ukombozi wa Taifa hili upatikane

Manawa Bukwimba Shytown
 
Mguu kwa mguu, unyayo kwa unyayo.....
 
Magamba lazima waweweseke tu
 
Mkuu yabane magamba hao hadi kieleweke
 
Hakuna kulala mpaka kieleweke ukawa
 
mfike hadi kaliua ,usoke hapo lazima ccm wajibebe mwaka huu
 
Tutaendelea kuwaletea habari za Chamachenu pendwa Chadema

Cc. Tumaini Makene, Molemo, Chademakwanza, Greenwhich, Standalone, Crashwise, Mwanahabari Huru
 
safi sana , kwa jinsi sita na kapuya walivyoichefua nchi kuna kila dalili nikaungana na makamanda kuchakaza urambo , ngoja tuone .
 
Baada ya jana kufanya mikutano mitatu ktk kata ya songambele na kuzindua msingi mmoja kati ya 150 Ambayo tumepanga kuizindua katika Jimbo hili.

Leo ikiwa ni siku ya nne toka tuanzishe..oparesheni delete Ccm ya katika Jimbo la urambo asubuhi ya leo tulikuwa ktk kata Vumilia tumepiga mikutano mitano na kuzindua misingi mitano katika vijiji vya uhuru,vumilia,motomoto,mlangale na chameleon na Baadae jioni tukamalizia mkutano urambo mjini ktk viwanja vya mwananchi square tukiongozwa na Kamanda Samwel Ntakamulena, Leonald Mapolo(watiania ubunge urambo) Julius J Mwita (mwenyekiti jimbo) na makamanda wengine

Kesho tutakuwa kata ya ukondamoyo

Hakuna kulala mpaka ukombozi wa Taifa hili upatikane

Manawa Bukwimba Shytown

Asante kamanda kwa taarifa.....ila majina ya Watia Nia umeyakosea....huyo siyo Leonard anaitwa DERRICK LUHENDE mjukuu wa T.S.Mapolu na huyo mwingine ni SAM NTAKAMLENGA...hapo sawa....CCM Urambo sasa basiiiiiiii...
 
Asante nitabadili watazidi kuaibika ccm Tanzania hii
 
CCM lazima tumbo la kuhara liwashike, ukawaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom