C cicatrix Member Joined Nov 7, 2012 Posts 58 Reaction score 3 Dec 9, 2012 #1 Salama wadau,.. Opa inauzwa na ipo katika hali nzuri (imported) Dau 11 million Maongezi yanakaribishwa kwa mnunuzi mwenye nia. Piga/tuma ujumbe > 0762193767. Attachments IMAG0073-1.jpg 188.4 KB · Views: 97
Salama wadau,.. Opa inauzwa na ipo katika hali nzuri (imported) Dau 11 million Maongezi yanakaribishwa kwa mnunuzi mwenye nia. Piga/tuma ujumbe > 0762193767.
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 Dec 9, 2012 #2 hiyo rangi mkuu so, mie mnaz wa bonde la maji
Mzee wa Rula JF-Expert Member Joined Oct 6, 2010 Posts 8,169 Reaction score 3,358 Dec 9, 2012 #3 Tukiachana na yote hayo ya bei na rangi, sema engine yake ni D4 au siyo. Naomba uweke na picha ya engine kabisa ili kuondoa utata ndiyo tuanze maongezi.
Tukiachana na yote hayo ya bei na rangi, sema engine yake ni D4 au siyo. Naomba uweke na picha ya engine kabisa ili kuondoa utata ndiyo tuanze maongezi.