Tetesi: Oops that COW; a Kenya's greedy brandchild project gone to "lazy Tanganyika"

Yani hawa bora wamejengewa banda lao huku ..wangeachiwa wapuyange kila kona ya jf ingekua majanga

Hehehe hiyo kweli, maana Wakenya ambao hupost humu kwa wastani ni watatu kwa siku lakini mnababaika utadhani KOT yote imehamia huku.
 
Acha kujidanganya Kenya nzima hamna forum inafikia JF. Ndo maana hubanduki humu ndani mwaka wa sita na utafika wa kumi umo humu ndani. Kinachowanyima raha ni Kuwa mmeshindwa ku-dominate humu ndani na siku mnafanikiwa JF itakufa kifo cha Mashada.
Hahaha umenikumbusha Mashada
Da ilikuwa moto kidogo bwana
Kipindi hicho nilikuwa Mombasa
Ila kiukweli ilichochea Ukabila sana
 
Kwanza nilijutia kuingia kule
Namwaka sipajui full ujinga upumbavu ndio Mada zao
Mtu ana anzisha mada ana sema "Kesho nina enda kumanga demu msupuu" na kesho ikifika ana tuma picha za lodge halafu anaelezea alivyo fanya!! wakina MK254 na pimbi mzee wana kuja kumshangilia mwenzao kwenye comments "msee umefaidi, si unipe manamba zake na mm nikajibambe"
 
Hehehe! Hebu nipe link ya hiyo thread na mimi nikafaidi.
 
Hehehe hiyo kweli, maana Wakenya ambao hupost humu kwa wastani ni watatu kwa siku lakini mnababaika utadhani KOT yote imehamia huku.
Sema machizi watatu wakenya wengi wamejua tz ni namba nyingine wamesha nyosha mikono mmebaki wakenya wanafiki kama 10 tu mnaleta vihoja hapa jf Ila watz tunashukuru kibaki na jubilee wanajua ukweli kuwa TZ KICK THERE ASS
 
Back
Top Bottom