OOOoo AFRICA

ndo maisha ya mtanzania haya mkuu, watu tunataabika wengine wanaficha pesa Uswisi
 
hivi sisi waafrika tumekosa nini hata tukawa na fikira za wizi? hivi hatuwaoni hawa watoto wanavyotaabika na maisha na wewe unaiba halafu huwekezi kwenye nchi yako unapeleka uswisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…