comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 6,456
- 11,518
Aondoke hapo bar kabla mapopo bawa hawajaja kumbakaKama Upo peke ako jaribu kumpigia simu mtu wako wa karibu aje akupe company
Peke ako huwezi hizi za leo zimekuelemea
Asije tu akajitupa baharini..Kama Upo peke ako jaribu kumpigia simu mtu wako wa karibu aje akupe company
Peke ako huwezi hizi za leo zimekuelemea
Zimemdhidi za leo 😅Aondoke hapo bar kabla mapopo bawa hawajaja kumbaka
Kwa hii trending lolote linaweza kutokea mods wamsaidie aiseeAsije tu akajitupa baharini..
Huyu ashikwe apigwe mtungo, Ndo msaada pekee uliobakiKwa hii trending lolote linaweza kutokea mods wamsaidie aisee
Hii misaada ni migumu sana 😅Huyu ashikwe apigwe mtungo, Ndo msaada pekee uliobaki
Atavumilia tuu 😂Hii misaada ni migumu sana 😅
Ndugu yake bwashee amesalimu amri ameamua kumuacha aendelee kupayuka.Hili kweli n jukwaa la hoja mchanganyiko, na walevi nao wamechanganyika
Huyu ipo siku atadakwa kizembe sana!😄😄Where are you Jesus?!!
Elezea kama essay 60npointsHuyu ipo siku atadakwa kizembe sana!😄😄