Ooh Poor NSSF!! - What is this?

Kuna SSRA imezinduliwa jana na Rais wetu. Ngoja tuone kama wataidhibiti hii NSSF inayoburuzwa na Zitto.
 
Kuna SSRA imezinduliwa jana na Rais wetu. Ngoja tuone kama wataidhibiti hii NSSF inayoburuzwa na Zitto.
If one way or another the allies of the President wanashiriki mchezo mchafu within NSSF unafikiri hizo SSRA zina uwezo wa kuidhibiti NSSF
 
Binafsi ningependa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu aambiwe kupitia kwanza vitabu vya NSSF kabla ya kupewa mradi huu mkubwa.. something is def very wrong.

Pamoja na mdhibiti ambaye kimsingi ataangalia masuala ya mahesabu na kama yanakidhi viwangi vya kimataifa, tunahitaji kuwapata wataalamu huru wa ACTUARIAL SCIENCE ambao watatathmini uhai wa muda mrefu wa huu mfuko na kama hii miradi wanayoifanya inahakikishia wanachama uendelevu wa maslahi yao ya uzeeni.

Kwa mtazamo wangu miradi kama hii ya umeme inatakiwa itumie pesa inayotokana na uwekezaji (return on existing investiment) na siyo michango ya kila mwezi ya wanachama. Hapa nina maana hayo mabilioni wanayopanga kutumia yawe yametokana na income from investment na kama income from investment haitoshi watafute mbia atakayelipa tofauti iliyobaki.
 
[My Take:

Not convinced yet. Probably I need to convince them of why their arguments are not convincing enough and why my position is better!
Mkuu Mwanakijiji, wakati tukisubiri hiyo position yako, kwa maoni yangu, NSSF hawana matatizo ya kifedha interms of capacity.

Duniani kote mifuko ya pensheni, ndio yenye easy secure money, wanakusanya fedha za wafanyakazi, wana zinvest kwenye hiyo miradi, lengo la msingi ni kuboresha mafao, kama hawa NSSF wako fiti kihivyo wanavyojidai, then washinikizwe waanze kulipa social security kwa Watanzania wote ikiwemo unemployed benefits na sio kutapanya fedha za wafanyakazi.

Defence kuu ya NSSF kufanya inayoyafanya, ni kujivunia hoja kuwa mafao ya wafanyakazi siku zote yako safe kwa sababu waweinvest kwenye treasury bonds ambazo ni very secure investments, hivyo uwekezaji wote unaiofanyika, unatumia fedha za ruturns na sil zile principal contributions.

Wasiwasi wangu sio ability ya NSSF kuyafanya hayo inayoyafanya, bali capacity to manage such huge projecys as NSSF, mifuko mingine dunioni kote, huwa inaunda SPV (Special Propose Vehicle) kusimamia investment na equity funds, wao NSSF wanasimamia wenyewe, ndio maana wajanja kama kina Manji, wakawaingiza mjini, na Mzalendo Mengi akalipigia kele sana hili.

Tatizo kubwa la umasikini wa wafanyakazi na Watanzania kwa ujumla, tunaoparate on cash budget, wakati wenzetu wote walioendelea wana oparate on credit facilities/ credit cards. Hawa NSSF wanatakiwa wawewezeshe wanachama wao kuitumia michango yao individually kama colateral ili wakopesheke, PSPF angalau wameanza, ila ni kwa mikopo ya nyumba tuu, NSSF wafungue milango kwa mikopo yoyote ili kila mwanachama kuitumia rasilimali ya michango yake kama dhamana ya kukopesheka kwa maendeleo.

Mchezo mchafu wa Quality Plaza na ile Millenium Park ni uthibitisho wa kama una akili, fedha za NSSF ni mtaji bwerere, tatizo lao mtaji huo ni kwe wenzetu wenye rangi za kupendeza na viongozi wakuu wa kitaifa tuu ambao hata wala sio wanachama wa NSSF.
 
Our money are embezzled badly due to poor thinking of govt leaders, dont they think we have right to decide over our money... we are the stakeholders... why not involved??? myself never even aware of this! Poor me and my family
 
There are still other options on the table!Nobody said it's a done deal.

However, I don't see anything wrong with NSSF investing in power generation. The government failed to unbundle TANESCO mainly because transmissiom and distribution part of power supply in Tanzania is not feasible enough for competent private power suppliers to invest without hiking tarrifs to at least 100%(just a figure...u know!)

The government ignored TANESCO,never invested in its infrastructure which is obsolete and waste a lot of watts before reaching the ultimate consumer,40% of electricity generated in Tanzania is wasted,compared to 13% as the international standard.If TANESCO infrastructure allowed at least 25% loss,currently about 100MW would have been still usable,THE EFFICIENCY ISSUE IS VITAL AND NEEDS TO BE ADDRESSED!

I will personally rule TANESCO out on a commercial point of view too!,because,if I owned a bank,that will be the worst customer to ever lend any amount of money. TANESCO through government siphoned a lot of funds from BIMA,AKIBA and the likes to subsidize Zanzibar and the rest, unable to make substancial profits due to poor returns.So what makes you think it's a good idea to give TANESCO money? Other than......uh, national interests?

My two pennies big hommie!!
 


Kajifunze sheria kabla ya Kuropoka, Dunia nzima kazi za audit sio kama ujenzi wa matundu ya vyoo, hairuhusiwi kutangazwa, Audit firm hairuhusiwi kuomba kazi yenyewe ndo huwa inaombwa!!! siasa imewafanya kujiona mnajua kila kitu
 
Hivi wachangiaji wa huu mfuko (wengi ni waajiriwa katika sekta/makampuni binafsi) wana nafasi yoyote katika kuamua ni kwa namna gani michango yao inatumiwa?

In short, yes! Tripartite representation gives workers right to be represented in the Fund's board.

The key issue here is whether the Board is doing its work properly to oversee management? Experience shows that DGs are sometimes very powerful than the Board. Is this the case for NSSF and other funds? let us wait no answer rather check how decisions are made, reasons behind such decisions and their outcomes.
 
Why not NSSF funds TANESCO to impliment those plans/strategies?
Why NSSF while we have TANESCO? -Contradition- Zitto+ Dau=UFISADI
In sensitive issues like this the great people would wish to see us discussing issues, no name calling!
 
Kajifunze sheria kabla ya Kuropoka, Dunia nzima kazi za audit sio kama ujenzi wa matundu ya vyoo, hairuhusiwi kutangazwa, Audit firm hairuhusiwi kuomba kazi yenyewe ndo huwa inaombwa!!! siasa imewafanya kujiona mnajua kila kitu
Watu wengine pasua kichwa haswa!! Sijasema audit firm iombe mkuu,kisheria CAG anaweza kuteua Audit firm yeyote yenye sifa kufanya kazi kwa niaba yake.umekurupuka mkuu.
 
Toa hoja songoro hapa hatuzungumzi nani awe kiongozi au habari ya vyama,mkishindwa hoja mnaanza kulia eti siasa,na hiyo siasa nafikiri tuitafutie tafsiri mpya chini ya hamad rashid maana mmezidi kulialia hovyo!
 
Kodi zetu wanazitumia vibaya na kushindwa kufanya shughuli za maendeleo sasa wanahamia kwenye pension zetu, baada ya hapo sijui kitafuata nini!!
 
What a poor reply!!!
 

and who was supposed to build KIGAMBONI BRIDGE?? msaada please
 
hii miradi ni ya kumpatia dr dau pesa ya kustaafia.mimi nilishangaa aliposema arusha by end of this year 300mw wataingiza grid ya taifa.kumbe wala wala alikua hajajua huo umeme utatoka wapi.sasa anaangalia source za power zilezile zenye kutupa shida kila siku!aaagh ahhh
 
TIC tells NSSF to build Dar bridge or else

Monday, 24 January 2011 16:56 Daniel Semberya



DAR ES SALAAM, TANZANIA - The Tanzania Investment Centre (TIC) has raised serious concern with the National Social Security Fund (NSSF) to seriously embark on the construction of the long awaited Kigamboni Bridge across Dar es Salaam harbour which has enormous economic impact to the nation.
In an interview with the East African Business Week in Dar es Salaam last week, the Executive Director of the TIC, Emmanuel Ole-Naiko, said NSSF, which offered to build the crucial bridge, had not submitted concrete plans for the construction.
He said if NSSF was finding it difficult to proceed, it should drop the matter onto TIC's lap to market the project locally and internationally.
Mr Ole-Naiko said the bridge was necessary to decongest traffic in the five-million people city and speed up economic developments on the Kigamboni side of the city planned for re-development into a model peri-urban community.
"Deliver the Kigamboni bridge and every one will salute you," he urged the NSSF. Ole-Naiko was wondering why the construction of the bridge had not taken off contrary to NSSF's promise to implement it "soon".
He requested the security fund to inform TIC for the latter to re-market the project to interested investors.
The planned bridge is expected to cross Dar harbour bay from Kurasini area thereby enabling a faster and smooth motor transport between the two sections of the city.
To date motorists and pedestrians use ferries to cross to the other side.
Last year NSSF Director General Dr Ramadhani Dau said construction of the Kigamboni Bridge would start in November 2010 and be completed in 18 months' time, but construction hasn't taken off.
The NSSF announced it had sourced a transaction advisor to help negotiate the contract with one of the six companies that won the bidding process. Studies were first conducted in 1991 on the 560-metre long and 14metre wide bridge. The project was earlier estimated to cost Tshs72b (US$48 million) in 2004, but that jumped to Tshs 132 billion.
Earlier plans with designs of six lanes had indicated it would cost more than Tzshs132 billion ($88 million) due to escalation of costs and devaluation of the Tanzania currency. In another development, NSSF is planning to invest in the power generation sector to help alleviate the country's recurrent electricity shortfalls. Dr Dau said the fund was considering building a 300MW plant
 
Hivi NSSF si wana mpango wa kuwekezaa kwenye DARAJA LA KIGAMBONI???? WAMEFIKIA WAPI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…