Onyo: UKAWA wajipime

Labda ni kitu gani kinachokufanya uone kuwa kampeni za uraisi za UKAWA zimeyumba?

Mkuu angalia bandiko langu namba 39 hapo juu nimetoa hizo sababu. Pengine ni woga wangu tu.
 
URA YANGU NI HALALI KWA MGOMBEA URAIS MWENYE SIFA ZIFUATAZO:
1.Lazima awe na tuhuma za wizi
2.Awe mchafu
3.Aliyehama Cycyem kwa kukatwa!
4.Awe aliwahi kuwa Waziri mkuu wa Kataifa Kangu.
5.Ni lazima atoke Monduli
6.Awe na Mvi
7.Mikutano yake ni lazima iwe katika mfumo wa mafuriko,tsunami n.k
8.Awe na PESA hata kama si za halali!
9.Awe na marafiki kibao wenye fedha kutoka mataifa yaliyokwisha endelea.
10.Awe na Mali isiyohamishika ndani na nje ya Tanzania
11.Ni lazima awe amehusishwa kwa kina na kashfa ya Richmond
12.Anayesingiziwa kuwa ni mgonjwa.
13.Hotuba yake ya ufunguzi wa kampeini ni LAZIMA niwe niliisoma Kwenye tovuti ya chadema
14.Awe anauchukia umaskini,kwa hiyo ni Lazima awe Tajiri kiasi chake!
15.Awe amehama majuzi katika chama dola
16.Awe si MTU wa kuongea sana majukwaani,dakika 8-11 zinatosha !
KURA YANGU YA AJABU SANA
17.Haijali kama maendeleo yatakuja ama laah!,ila sasa inamtaka mgombea urais ambaye hapendwi na chama dola kuliko wenzake wote!
SINA SHAKA MGOMBEA URAIS ANAEKIDHI BASHASHA NA MSHAWASHO WA KURA YANGU NI Rais E.N.Lowassa "THE HERO"
 
The ancient Romans came up with the following aphorism: Gutta cavat lapidem, non vi, sed saepe cadendo. Ndiyo kusema:Maji hutoboa au kuvunja mwamba si kwa kumwagiwa mengi mara moja, bali kwa kuendelea kudondokea tena na tena.
Ninachokiana hivi sasa kuelekea uchaguzi ni drip-drip-drip. Jambo moja moja linadondoka na kudhoofisha mwamba. Kila linalosemwa na kutokea linatia dosari kwenye UKAWA. Yakiendelea haya miezi miwili hii, tutajikuta tuko full CCM. Nimekosa imani kabisa na upinzani unavyo-organize na kuendesha kampeni hii.
 


Love it, love it, love it. Way to go PNC.
 
Last edited by a moderator:

At least nimepata mtu mwengine anaenielewa. Asante.
 
Kifyatu wanaotukana ni vijana wa fisadi lowasa wanaolipwa kwa kila tusi. Wanaukawa halisi hawana matusi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…