Onyo kwa yanga

ishu tusizidi kulalamika ila tujipange vyema kukabiliana na changamoto hizi.
 
hahahah!! mie ni Yanga wewe niite utakavyo ila namba yangu ni second from KIKUNGU.

Basi karibu sana jukwaa hili uwe unatembelea mara kwa mara ila kuna wenzako wabishi huku kama mzee Akilimali.
CC: [MENTION]Mandieta[MENTION],[MENTION]Makoye Matale[MENTION], [MENTION]Ndomyana[MENTION], [MENTION]Ulimakafu[MENTION], [MENTION]WABHEJA SANA[MENTION]
 
Basi karibu sana jukwaa hili uwe unatembelea mara kwa mara ila kuna wenzako wabishi huku kama mzee Akilimali.
CC: Mandieta,Makoye Matale, Ndomyana, Ulimakafu, WABHEJA SANA
aah! wapyy hili jukwaaa uliza vyema mimi ni mdau mkubwa tu na huwa natembelea klabu zangu red devils na yanga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…