onyo kali!!

Bishanga

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2008
Posts
15,321
Reaction score
10,140
Humu cc kuna watu wanatongoza mke wangu kipenzi,wanatongoza mahawara zangu,vimada wangu,nyumba zangu ndogo,wanatongoza ma concubine wangu,mistresses wangu,last warning ole wako uendelee na mchezo huo mchafu,hivi ninavyoongea niko maeneo ya Goma nimeelekekezwa kwa fundi anaitwa mbamba zimbolola wa bambate,ye kazi yake ni moja tu kuhamisha kikojoleo cha mtuhumiwa na kukibandika usoni.
Wabaya wangu mnajifahamu kwa sura na majina......i am watching you!!!!
Cc Baba V na Mama v.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo idadi ya mabibi zako , ikienda sanjari na kila bibi utogwe tundu 1 mwilini mwako!
Ungefanana na? .......
"malaria haikubaliki"
 
Hiyo idadi ya mabibi zako , ikienda sanjari na kila bibi utogwe tundu 1 mwilini mwako!
Ungefanana na? .......
"malaria haikubaliki"

Hayakuhuuu......halafu na wewe Judgement uko kwenye oloza ya "wanted dead or alive".
Cc mkeo YNNAH
 
Last edited by a moderator:
Bishanga mbona haujiamini hata wewe mwenyewe
ungekuwa mkweli uwataje majina ili uone moto wake;
 
Last edited by a moderator:
Chezea wakware..... watakachofanya saivi watajihamisha wenyewe vikojoleo na kuviweka usoni afu ndo wanakuja kwa wakezo..
 
Najua kaja tu hapa na kizunguzungu cha kuuguza hukooooo

Mie nipo kisiasa zaidi
nshapata hifadhi siasani nimepona foleni ya kwa Bishanga
Asa wee povu la nini ?
Unapovuka kwa sababu hajakumesheni!
Wakati hapa hadi fesibuku wanajua ktk hilo lioloza lake wewe hukosi!
 
Last edited by a moderator:
Huu nao ni ufisadi. Pia ni matumizi mabovu ya rasilimali.

Nimetoa mabandiko mangapi hapa jukwaani ya kutafuta binti/ mke. Sijapata hata wa kushika pembe. Wewe unao Lundo.

Acha roho mbaya. Tupunguzie wengine tukusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…