Onyesha Upendo kwa Vitendo

asante kwa kunishauri kwani nafarajika kwa neno lako sitafanya hvyo niendelee kumpenda hadi Mungu atakapoona yeye kwani Mungualisema kuwa alichokiunganisha yeye mwanadamu hawezi kukitenga hivyo siwezi chukua uamuzi huo nitampenda daima milele kwani upendo husitiri wingi wa dhambi[QUOTE=Mtoto halali na hela;6341347]usimfanyie hvyo[/QUOTE]
 
Mie na Poo tunapendana sana, ila upendo wa agape

 
Shem wako ni Mentor hakuna mwingine, yani hapo nimefika kwani yeye anajua anachonifanyia tukiwa faragha ndomana sibanduki hata kama ananiuzi, hao wengine wananipima akili yangu

sis kwani shem ni yupi
kati ya hao maana
sikuelewi ujue!!
 
Last edited by a moderator:
Shem wako ni Mentor hakuna mwingine, yani hapo nimefika kwani yeye anajua anachonifanyia tukiwa faragha ndomana sibanduki hata kama ananiuzi, hao wengine wananipima akili yangu
hahahaa!!asante sisy
KakaKiiza atakua amepata habari hii!!
 
Last edited by a moderator:
hakuna mwingine zaidi yake kwani wewe umekuwa mke wa POTIFA mwenye kung'ang'ania mpaka anabikwa nguo ya YUSUFU MKONONI mwake
Hiyo nikwakuwa umemkaba sana anajisafisha ingia PM uone kazi!!ndo utajua!!
 
mpendwa Passion Lady ni ndugu yangu na anayo haki ya kujua kuwa nduguye yuko na nani yaani shem wake kwani ni vyema uwaambie nduguzo kuwa uko nanani ili wafahamu na wakati mwingine waweze kumjali na kumhandle shemeji yao kwanini wewe hupendi nduguyo afahamu uliyenaye mm naona vizuri sana kumshirikisha nduguyo yale yaliyo mema kwani kwa kufanya hivyo utaweza kuleta upendo wa agape kati yandugu na ndugu wa pande za pili au nakosea charminglady, Lady Unbreakable, sweetylady na FirstLady wote hawa wanamfahamu shemeji yao Mentor kuwa ndiye hasa barafu wa moyo wangu
 
Last edited by a moderator:
mpendwa Passion Lady ni ndugu yangu na anayo haki ya kujua kuwa nduguye yuko na nani yaani shem wake kwani ni vyema uwaambie nduguzo kuwa uko nanani ili wafahamu na wakati mwingine waweze kumjali na kumhandle shemeji yao kwanini wewe hupendi nduguyo afahamu uliyenaye mm naona vizuri sana kumshirikisha nduguyo yale yaliyo mema kwani kwa kufanya hivyo utaweza kuleta upendo wa agape kati yandugu na ndugu wa pande za pili au nakosea charminglady, Lady Unbreakable, sweetlady na FirstLady wote hawa wanamfahamu shemeji yao Mentor kuwa ndiye hasa barafu wa moyo wanguna tena ni mpole sana ana wasiwasi wowote ila kuna watu wanataka kumharibu kwani mwanzo hakuwa hivyo upo hapo Sungura Toto
 
Last edited by a moderator:

baeleze wajue
na siku si nyingi
utakua ndani ya shela ma swt sisy hahaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…