Only in Mombasa

Iko nchi gani hii? Mungu apishe mbali isiwe Tanzania!!
 
Shule yako inaitwa je?inaitwa.....naona tabu miss chagga na Amavubi malizieni tafadhali
 
Last edited by a moderator:
..haina tofauti na Kunduchi...

Kunduchi nafuu imefichika kidogo. Hiyo iko live ndugu. Wamekubalije kusajili jina hilo Kenya wakati wanajua Kiswahili na tafsiri ya hayo maneno?!!!
 
Singida kuna shule inaitwa Senge
 

Attachments

  • 1420299990024.jpg
    101.1 KB · Views: 211
Kunduchi nafuu imefichika kidogo. Hiyo iko live ndugu. Wamekubalije kusajili jina hilo Kenya wakati wanajua Kiswahili na tafsiri ya hayo maneno?!!!

wenyeji wanatambua asili na maana yake...wageni ndio tunastuka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…