Online radio

Online radio

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
4,597
Reaction score
5,185
Wadau habari,nataka kusikiliza online radio je nitumie application IPI ili niweze fanikiwa
 
nimeipata nafanyaje kupata radio za kibongo manake naona nyingi ni Za mbele
 
au unaweza ku download application nyingine tena inaitwa PC RADIO, kama ukiona tuneIn radio pro inakuzingua, ila hizo application zote mbili ziko poa xn
 
had chanel za marekan naweza kuzipata nikitumia hyo tunein mfano kiss fm yenye countdown za at40?
 
Mzingatie tu kuwa inatumia data kustream hiyo radio.
 
Back
Top Bottom