Mjasiriamali M
Senior Member
- Jan 15, 2013
- 142
- 69
ushaambiwa piga simu kwa maelezo zaidi!Unalipa sh ngapi?
ushaambiwa piga simu kwa maelezo zaidi!
kwani kuna ugumu gani wewe kufuata maelekezo?kwan kuna ugumu gan akiutaja hapa?
Naomba nitoe shukrani kwa woote walio show interest kuhusiana na post ya leo. Kwa kuwa wengi wamekuwa wakiulizia kuhusiana na malipo yapoje, jamani ndugu zangu hii ni kazi ya muda ya ziada na ya muda mfupi, sasa basi kama unahisi utaweza kufanya kwa masaa mawili au matatu per day na ukapata Allowance ya Laki 1, na Elfu 10 ya Vocha/Bundle tafadhali endelea na kunitumia e mail nami ntachukua muda kuzisoma na kufuatilia zaidi kwani hata wakipatikana watu watatu itakuwa poa zaidi. Wakike 1 na wakiume wawili preferably au kinyume na hapo. Natanguliza Shukrani.
Hio Laki 1 ni kwa masaaa mawiliii? Au ndioo kutuchosha
Habari za Leo Wana ndugu, Nipenda kutoa taarifa ya Uwepo wa nafasi za kazi za muda maalum (Part Time) za Data Entry online. Hii inawahusu wale wote ambao wana Access ya Computer majumbani kwao lakini hawajapata kazi ya kudumu ya kufanya. Wahitimu wa kidato cha nne Hadi 6, itawafaa zaid, na wa chuo kama hautojali maana malipo si makubwa sana. Umri ni kuanzia miaka 18 +. Nna hitaji watu wa kunisaidia kuniingizia Data kwenye system kwa kipindi cha Miezi 3. Kitu cha lazima ni kuwa na Computer na Modem (Bundle ntakuwa nakuwekea Mimi). Mengineyo ni Kama Ifuatavyo:-
Location - Any where in Tanzania
Ujuzi:- Form 4 hadi 6 + Computer( Internet na Email)
Muda wa Kazi:- 4 to 6 hours daily.
Mazingira: Nyumbani Kwako
Vitu vya kuwa navyo:- Computer na Modem.
Call me au text me on 0687 458 830 au 0719 44 72 04. kwa maelekezo zaidi. Tuma Email kwenda mutchoh@gmail.com,
SHUKRANI KWA WOTE WALIO ONESHA NIA.
Kuanzia Sasa zoezi la kupokea Cv na Inquiry kuhusiana na Post hizo limefungwa, tunaendelea na kufanya Short Listing. Kuanzia baadae tutawataarifu watakaokuwa wamebahatika kuingia katika round ya mahojiano na kutAmbuana. Nitoe shukrani za Pekee kwa woote walio jitokeza, na ntazidi kuwa consider for further openings. Ila Nimejifunza Kitu Kupitia Uitikio Wenu Ndugu zangu.
Wengi tuna Interests za kufanana, tatizo hatujuani, laiti kama ingekuwa rahisi kufahamiana na kuunga nguvu basi jamii yetu ingekomboka kwa kiasi fulani maana Umoja ni nguvu.[/color]
Tena? kip icho waweke wazi mkuu..
Wengi tuna Interests za kufanana, tatizo hatujuani, laiti kama ingekuwa rahisi kufahamiana na kuunga nguvu basi jamii yetu ingekomboka kwa kiasi fulani maana Umoja ni nguvu.
nami niliomba hii post sasa naona kimya ama nimekosa? vigezo vidogoWengi tuna Interests za kufanana, tatizo hatujuani, laiti kama ingekuwa rahisi kufahamiana na kuunga nguvu basi jamii yetu ingekomboka kwa kiasi fulani maana Umoja ni nguvu.