JesusMyMaker
Member
- Jun 2, 2019
- 60
- 41
- Thread starter
- #21
Kweli mkuu... Mda wa kuwaza matokeo hasa unakuwa Kama haupo vile...Pole tujitahidi kuwa waangalifu watu sisi njaa tupu neema ikijileta tunapita nayo hatuitaji kuwa tumeacha maumivu kiasi gani?