Ongezeko la Nauli gafla..!

Ongezeko la Nauli gafla..!

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
139
Jamani hapa wilayani MAGU leo kuna upungufu wa magari ya usafiri (kutoka Magu kwenda mwanza) hali ilyopelekea makonda na maDREVA kujipandishia nauli kiholela kutoka Tsh.2000/= hadi Tsh.3000/=
Nashindwa kuelewa mamlaka husika iko wapi? Na hapa stand kuna kituo cha polic na matrafic wapo wanajionea hii issue
nami nimepanda costa imejaza mno na watu bado wanaendelea kuingia tu bila kuzingatia uwezo wa wa gari
na kwa sasa kuna abiria 48.
 
Na tumepita kituo cha nyanguge
traffic amekagua gari na kuliruhusu liende tu hamna shida kabisa.!
 
Mbona poa tu,hatuna serikali hata wewe ukiwa na biashara yako pandisha bei.
 
Mafuta yamepanda sana bei wandugu. Hakuna anaetaka kuliongelea hili na akija anatoa majibu holela kwamba uchumi wa dunia umeyumba. RIP TZ
 
Back
Top Bottom