Ongezeko la mshahara ni Tsh 2,500/= rekodi nyingine imevunjwa

Sound tu hizo, ila wataleta mushkeli kwa baadhi ya watu kuingia front kudai madaraja yao na mishahara mipya....yetu macho.
 
Hili ndilo la maana


Usiishie hapa hapa fanyia kazi wazo hili
 
 
Mama

Mwakani sasa si ndo hii tayari new financial year imeanza tarehe 01/07/2021..

Ndo maana unaona wajuba wamepagawa na hicho kiasi...
Sio kwamba alimaanisha kwamba 2022 okay....
Ila watu wanapanda madaraja, kuanzia June na July hii watu wamepata mishahara mipya, tuwe wavumilivu tu awamu kwa awamu....

Tuendelee kula mtori nyama zipo chini 😁
 
Kwa aliyepewa sio nyingi..., ila kwa inapotoka ni nyingi sana (Unajua mpo wangapi nyie) ? Ingawa kwangu mimi lawama na kwa Serikali sio kwa kutokuwapa nyie zaidi bali kwa kutoongeza kina nyie mkawa wengi zaidi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…