Ongezeko la mshahara kada ya Afya

Ongezeko la mshahara kada ya Afya

Geniustin

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
4,380
Reaction score
2,843
Wakuu heshima yenu sana sana,
Nasikia mshahara umetoka na kwamba kuna ongezeko kidogo,
Naomba kujuzwa hilo ongezeko ni la shilingi ngapi ngapi??????
Kuanzia Cheti,Diploma na Degree.

Nawasilisha.

Thanks in Advance.
 
Subiri mshahara wako utajua kupitia salary group
 
mshahara umetoka..nimemuuliza mdogo wangu ni daktar pale moro...kasema wameongezewa hela ndogo tu...hongeren wafanyakaz mjifunze kuikataa ccm
 
Wakuu heshima yenu sana sana,
Nasikia mshahara umetoka na kwamba kuna ongezeko kidogo,
Naomba kujuzwa hilo ongezeko ni la shilingi ngapi ngapi??????
Kuanzia Cheti,Diploma na Degree.

Nawasilisha.

Thanks in Advance.

Mkuu mbona umejipendelea Upande wavAfya tu??,Vipi kada zingine km Elimu,Kilimo,Mifugo,Polisi,n.k.
 
Back
Top Bottom