Ongeza Mkondo Wa Mapato Ili Uwekeze Vizuri

Mwakawasila

Member
Joined
Oct 23, 2024
Posts
39
Reaction score
68
Unaweza Boresha zaidi unachofanya,
Au ukaongeza kipato zaidi,

Kuna kazi ukiwa unafanya inaruhusu kunyumbulika, jifunze namna ya kuboresha,

Lakini zingine zipo limited

Unaweza tumia njia mbili

1.Unaweza Anza kuwekeza kwenye HISA HATIFUNGANI na Mifuko ya pamoja,

Lengo upate pesa ya kuendeshea Active income

Hizi ni kazi zinazokupatia pesa Kila siku mara zote zitakuhitaji uwepo wewe,

Active income ikiwa strong unarudi kuwekeza kwenye Passive income Hisa , Hatifungani,mifuko nk

2. Anza na Active income kama Biashara, huduma mbalimbali na faida ukawa unaipeleka

Kwenye passive income HISA, HATIFUNGANI, MIFUKO nk

Ni Kwa sababu passive income haushiriki kwenye Uzalishaji, pesa Ina fanya Kwa ajili yako,.

Mfano kwa wenye hisa Kuna faida ya HISA kupanda bei na Gawio Wewe huogopi

Au ubaya u....

Mwakawasila
Financial consultant
0744980339
 
Kwa sisi tusiokula riba unashauri vp? Sharia compliant? Maana hizo hisa ni ni interest based! Mtu asietaka jihusiha na riba ataweza vp kua financially free katika ulimwengu huu wa kibepari?
 
Hisa sio riba na kwenye hisa hamna consistency return ni kupanda na kushukaa kwa bonds sawa kuna riba.. Ila kuna sukuk(islamic bond.. /Halal hisa zipo platform zitakusaidiaa
 
Kwa sisi tusiokula riba unashauri vp? Sharia compliant? Maana hizo hisa ni ni interest based! Mtu asietaka jihusiha na riba ataweza vp kua financially free katika ulimwengu huu wa kibepari?
Hampend riba ila mnazini, mnaua, mnaiba, mnasengenya, unatapeli 😂😂😂
 
2. Anza na Active income kama Biashara, huduma mbalimbali na faida ukawa unaipeleka

Kwenye passive income HISA, HATIFUNGANI, MIFUKO nk

Ni Kwa sababu passive income haushiriki kwenye Uzalishaji, pesa Ina fanya Kwa ajili yako,.

Mfano kwa wenye hisa Kuna faida ya HISA kupanda bei na Gawio Wewe huogopi
Sitarudia kununua hisa nilifanya hivyo nmb nikajikuta ni kama niliweka fedha kwenye fixed deposite account tu, divident yake ilikuwa ndogo sana compared to if ningefanya biashara ya mazao ya chakula kama mpunga, ufuta nk
 
Back
Top Bottom