Sasa atakuwa anatafuta ugomvi....atashangaa anashambuliwa na timu zote mbili kwa mpigo sijui atapona kweli?Lakini mjue huyu refa huwa ana midadi
hawakiwii kuomba kupiga penati.
Teh atajinyonga..tena small house utakuwa umempaisha sana na atakuwa na bahati.....LolSasa siunajua nnayo ya mwingine tayari? Kama uko tayari kuwa kanyumba kadogo niombe ruhusa.
angalao sasa tumeanza kupiga hatua.....tulikotoka ni mbali twendako ni ni karibu........Sasa siunajua nnayo ya mwingine tayari? Kama uko tayari kuwa kanyumba kadogo niombe ruhusa.
Teh teh unampeleka chumba cha wageni....kwani anakujua cha wenyeji? Hope hakijui lol
Akiumwa na njaa masaa 24 ndio atashika adabu na hutamwona anabadili Location tena hahahahaaaaa
Wewe umekataa nije na wewe na The Boss
Halafu unataka dada aje kwa first date yangu?
huna jeuri hiyo kwa bishanga,chezeya wewe bilionea la kihaya.Hahahaha. . . ngoja nifanye mpango wakumkomesha aache kupenda vya watu.
we acha tu,mimi tutabanana arusha mpaka kieleweke,afe kipa afe beki mtanange huu utapigwa hadi dakika 90'