ongea kiingereza baada ya nusu saa

Sio kiingereza tu hata ukitaka kunena kwa lugha ni poa tu!!
 
niliwahi kusikia dalili ya mtu anayeanza kulewa

  1. ataanza kuongea kwa sauti ya juu kuliko awali
  2. lugha itaanza kuooanda (udhungu)
  3. glass/chupa ataiweka kwa nguvu mezani akidhani meza iko karibu
  4. dada aliyemponda mwanzoni ataanza kumshika shika
  5. kama kuna muziki ataanza kujitikisa taratibu na baadaye kuamka kucheza
  6. usingizi
  7. kujisaidia ovyo
  8. matusi
  9. ...................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…