Big result now hahahhaha
Nipo hapa na watoto wa shule za kata, darasa la 4, mmoja anasimulia mkasa wa nyoka mrefu, anasema ana urefu wa siku moja, mwenzao mmoja akawa haelewi ndo urefu gani huo, akaambiwa kama sasa hivi ni saa 7 basi urefu wake ni hadi saa 8, akawa bado haelewi, wenzake wakamshambulia mgumu kuelewa wakati yupo darasa la 4, ikabidi akubali kaelewa, nikawa very interested kujua na mimi labda ni maarifa mapya, kuuliza nikaambiwa hivyo hivyo, nikauliza kwani kipimo cha urefu ni nini wanasema ni muda au masaa.
Ama kweli hii ndo BIG RESULTS NOW YA SHULE ZA KATA.
je kama alikuwa anamaanisha urefu wake unatembea siku nzima ndio unammaliza huyo nyoka..
huo nimwendo wa kawaoda..Anhaaa, hapo sasa kutaibuka swali lingine, huyo mtu anatembea kwa kasi gani, vinginevyo huyo nyoka atakuwa na urefu tofauti kulingana na kasi ya mtembeaji, siku moja mwingine anaweza fika morogoro na mwingine akaishia kibaka kama reference point ni mnara wa saa posta.
mie mwanangu yupo form one mtihani wake wa english nimeona kaandika alikuwa anajibu features za hawa kunako hawa the bus driver akaandika she weighs 80 kilometersNipo hapa na watoto wa shule za kata, darasa la 4, mmoja anasimulia mkasa wa nyoka mrefu, anasema ana urefu wa siku moja, mwenzao mmoja akawa haelewi ndo urefu gani huo, akaambiwa kama sasa hivi ni saa 7 basi urefu wake ni hadi saa 8, akawa bado haelewi, wenzake wakamshambulia mgumu kuelewa wakati yupo darasa la 4, ikabidi akubali kaelewa, nikawa very interested kujua na mimi labda ni maarifa mapya, kuuliza nikaambiwa hivyo hivyo, nikauliza kwani kipimo cha urefu ni nini wanasema ni muda au masaa.
Ama kweli hii ndo BIG RESULTS NOW YA SHULE ZA KATA.