OneDrive (FORMERLY SkyDrive) - Bonus 3GB Storage + up to 5GB from Referrals

OneDrive (FORMERLY SkyDrive) - Bonus 3GB Storage + up to 5GB from Referrals

Natania

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
262
Reaction score
217
Wakuu, kwa wale wanaopenda kuhifadhi documents zao kwenye 'clouds' yaani mtandaoni basi wanaweza kujiunga na OneDrive ambao wamebadilisha jina kutoka SkyDrive (ni kampuni ya Microsoft) -ukijiunga tu unapata 7GB Free For life na unaweza kuziongezea kwa kualika watu pia (For each friend who signs into OneDrive as a new customer, both you and your friend will receive an extra 0.5 GB of free storage (max 5 GB).


Kama umependa kujiunga na OneDrive basi click (ama copy and paste kwenye browser) hii link hapa chini ili tufaidi wote.


https://onedrive.live.com?invref=4a70df375e1f4557&invsrc=90


Kila la heri
 
Back
Top Bottom