Hata saa nane naye arudi usiseme gwanda tuLissu akikutana na hao jamaa Lumumba mtakuwa na hali mbaya zaidi. Miti inaanza kuteleza hivyo!
jingalao Magonjwa Mtambuka , tatum , britanicca , TUJITEGEMEE , Ibambasi , DrLove69, Mpinzire
Kumbe je kama kashamezwa na chatu??Sawa kiongozi. Hii ni kwasababu ni mwandishi, na huo umoja wa wana habari ndiyo unampambania. Ben issue yake iko sambamba na ya Lissu na yule aliyekatwa mapanga mchana kweupe!
Ulaya hakuna watu wanao potea?in may 2018 walisema 180,000 go missing every year!
Siyo watu tu, hata Wanyama huwa wanatafutwa wakipotea.Ulaya hakuna watu wanao potea?in may 2018 walisema 180,000 go missing every year!
Mkuu waafrika hatuna akili ya kuchambua vitu!Mnachosahau hao wazungu hata likipotea bara zima la Afrika hawatajali, 98% ya wazungu hawana uchungu hata kidogo na mtu mweusi. Ndo maana tunamshangaa huyo Lissu kukimbilia kwa wazungu akidhani watamsaidia lolote. Wao wanaangalia maslahi tu,kama maslahi yao hayajaguswa hata ushinde kwenye korido za white house mwezi mzima ni kama unampigia mbuzi gitaa.Kazidiwa hata na dogo Bobby Wine anakomaa humo humo Kampala alipo Museveni.
Mkuu Trump alipoingia madarakani alisema AFRICA itatue matatizo yake yenyewe, na sera za marekani kuhusu AFRICA zimebadilika sana tangu aingie madarakani. Sina kumbukumbu TRUMP akitembelea nchi yeyote ya AFRICA tangu aingie madarakani, nashangaa vijana wanahisi kuna tatizo la Tanzania linaweza kutatuliwa na USA. Huyo LISSU ziara zake zimeshaisha kabadilisha nini?Mkuu waafrika hatuna akili ya kuchambua vitu!
Siyo Africa tu, kuna tatizo kwa rais aliyepo wa USA. Hata kuhusu shambulizi la Kashoggi, Congress bado inambana ayalaani mauwaji yale na kuchukuwa hatua. Kwahiyo wabunge ni watu wa muhimu usisahau. Usijidanganye kabisa kuhusu siasa za marekani. Wale hawana viongozi madikteta! Hata kina Saddam walishuhudia marais wengi tofauti wa Marekani, tena wengine walishirikiana naye kabisa!Mkuu waafrika hatuna akili ya kuchambua vitu!
Msomi kama yule kama hafikirii inasikitisha sana!Mkuu Trump alipoingia madarakani alisema AFRICA itatue matatizo yake yenyewe, na sera za marekani kuhusu AFRICA zimebadilika sana tangu aingie madarakani. Sina kumbukumbu TRUMP akitembelea nchi yeyote ya AFRICA tangu aingie madarakani, nashangaa vijana wanahisi kuna tatizo la Tanzania linaweza kutatuliwa na USA. Huyo LISSU ziara zake zimeshaisha kabadilisha nini?