samahani wapendwa ,kuna kijana nimemwachia pc kwa muda nikasahau kulog out,kaingia na kufanya utundu wake,,,samahani don't concentrate on what is written here,,,,
mmmh tuwe tunaangalia na mada za kujadili....majina mengine yakwetu lakin twaaibishana tu....okay its non of our concern lakin mmh Nampa heko jamaaa aliekupa dongo,,,kumbe wewe ni kijana mdogo kama mimi then wafanya ujinga