One million Dollar Question to you Mr Ndugai:

Hili jambo la kumnyang'anya ubunge TL lina utata sana, tusubiri tuone hiyo kesi.
 
Spika dhaifu, mgomvi anapenda kuwachapa fimbo ccm, kugombana na wabunge na watumishi wa umma
 
anajaribu kujipendekeza kwa jiwe ili arudi kama spika 2020, it's too late for him, atakumbukwa kwakua spika poyoyo kuliko wote.
 
Tatizo kubwa la awamu hii ni.mihimili yote kuongozwa na washamba wenye asili ya uchawi katika malezi yao
 
Ndungai qnamsikiliza Alfa na Omega,
Lakini pia utashi wake unaonesha ni mtu mwenye roho katili sana..
 
Wabongo sisi tumeoza akili kwel alafu kesho tunasema aliyeturoga amekufa wakat yupo na ndo anatawala nchi
 
Back
Top Bottom