one day i wont be there.

one day i wont be there.

tan 90

Senior Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
182
Reaction score
36
One day I will leave the
world and never come
back. You will cry when U
see my mobile numbers,
texts in your phone. You
will miss me when U sit
aloneand recall the
moments we shared,
You will wish to meet me
and apologize for the
wrong things you have
ever done to me when
it’s too late. You will
move on and meet other
people, they will try to
love you but they won’t
love you like the way I
am loving you right now,
they won’t handle you
with delicacy like the way
I do, they won’t be
faithful like the way I
am,They won’t be
fearing to lose you like
the way I have been,
they won’t appreciate
your care like the way I
do Time will come were
there will be no more ME
(Tan 90) to irritate, make
you laugh, annoy you, hug
or kiss you, to say sorry
to you, to cry for you, to
plead for you…
Tears might flow out of
eyes But, i will be gone
forever, So Enjoy my silly,
stupid company as much
before i close my eyes
forever. ♥ Love you
♥
Have a luvly day
 
Ni vizuri kusisitiza umuhimu wako ili ulipwe wakati unapumua. LOL
Lkn huenda akukutana na mwingine hadi akawaza kwanini hakukutana naye mapema (akimaanisha kwanini tan 90 hakufa mapema)??????
 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri kusisitiza umuhimu wako ili ulipwe wakati unapumua. LOL
Lkn huenda akukutana na mwingine hadi akawaza kwanini hakukutana naye mapema (akimaanisha kwanini tan 90 hakufa mapema)??????

lol, yale mambo ya "where were you all my life?"
 
lol, yale mambo ya "where were you all my life?"

I know that line and l real hate it, kwani kwanza siamini it is genuine lkn pia mazingira plus what you went thru ndio kilichochangia tukutane. So let's enjoy the moment, baasi!
 
Ni kweli, lakini Mungu katuumba na hali ya kusahau. Unaweza kukumbwa na jambo baya sana au msiba wa mtu wa karibu lakini baada ya miezi michache ukaanza kusahau na kufikiria mambo mengine.

Namaanisha nini? Ni kuwa ni bora uishi kwa kujipa raha mwenyewe. Maisha ni kata mti panda mti, ukiondoka wewe wengine wanapata nafasi na hivyo the best way to live ni kujitahidi kuishi maisha ambayo moyo wako unayatamani bila kuangalia nani anasema nini ili mradi haujamkosea mtu na pia unaheshimu maagizo ya vitabu vya Mungu.
 
nakuunga mkono
 
Ni vizuri kusisitiza umuhimu wako ili ulipwe wakati unapumua. LOL
Lkn huenda akukutana na mwingine hadi akawaza kwanini hakukutana naye mapema (akimaanisha kwanini tan 90 hakufa mapema)??????

watu wengi huwa wanapitia kipindi kigumu sana pale wanapompoteza mtu ambaye umuhimu wake huonekana kipindi hayupo tena,na ikumbukwe pia,hata kama atapatikana mtu kama wewe tena katika maisha yake,they'll just be similar but not identical.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom