Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,406
Inawezekana
Mashuleni Monitor nyingi zaidi zaweza kuunganishwa katika PC moja. Ila hapa kuna mahitaji mengine ya ziada
Mkuu kuna hivi vifaa nimeona, kwa vile bado naitumia hii mashine ngoja nikupigie picha kbs
View attachment 160761
Yani mouse moja, key board moja na unadrag chochote toka one side to the other kitahisi tu ni kama screen moja
VP hakuna software yoyote itayotumika hapo?
mnishtue baadae jioni niwape skuli kuhusu hili, sasa ivi niko tight kidogoVP hakuna software yoyote itayotumika hapo?
Na pia kuna ofisi nilienda kuna kifaa unapachika laptop ikiwa sleep mode na bado unaitumia kwa kutumia desktop, kwa mfano kuedit data za laptop, add or delete..nikashangaa aisee!!
Dah kweli kila mtu na fani yake
It works like thisView attachment 160763
So kwa watu wanaofanya ishu zinazohitaji display kubwa ama kuwa na source and destination, hii linking ni nzuri sana
na mimi nahitaji kujua hiyo kitu
ngoja waje watu saidie
WaMavoko kawapa pages za kusoma sema watanzania wavivu sasa nimeanza kuona comment hadi za kuwadanganya kua mnahitaji kifaa flani kwenye laptop.... Hauhitaji kifaa chochote kwenye laptop, laptop zote zina sehemu ya kuchomeka VGA port, twende kibongobongo zaidi, kuna laptop zenye HDMI port pia sema tusiende huko yasije yakaja maswali mengi mno....
VGA port ni sehemu unayochomeka monitor, ukishachomeka monitor washa mashine yako, mashine nyingine zitaigawa desktop automatic, nyingine zitadisplay kitu kimoja kwenye screen zote mbili, nyingine inawaka moja tu, hili lisikupe shida, washa ifike hadi kwenye desktop, nenda control panel, appearance and personalization afu tafuta adjust screen resolution... Ikifunguka hii sehemu utaona screen mbili, hapo sasa unaweza chagua resolution, ipi ikaw kulia, kuahoto, juu au chini, afu kwenye sehemu ya multiple displays utachagua eithr extend desktop, manake unagawa unakua na desktop mbili tofauti, ile ya pili kuitumia mfano iko kulia basi unapeleka mouse kulia inaingia kwenye monitor ya pili......
Kwa desktop computer utahitaji port nyingine ili uweze kuchomeka monitor yako ya pili. ukishapata procedure ni the same
Afu kuhusu Sleep mode ati laptop inafanya kazi, si kweli... alichofanya ni aliset kua akifunga laptop yake basi isilale, iendelee tu kufanya kazi, sasa kwa kua kaconnect multiple displays anauwezo wa kutumia ya pili bila shida... huwezi ukaweka laptop skeep mode afu ukaitumia hata siku moja, code ya operating system haijaandikwa hivo...
It works like thisView attachment 160763
So kwa watu wanaofanya ishu zinazohitaji display kubwa ama kuwa na source and destination, hii linking ni nzuri sana
kaka kama una mashine ya win8/8.1 hiyo feature ni built in. windows 8 ipo vyema kwenye kuonesha picha kubwa kwenye monitor nyingi na sio lazima cpu ya desktop tu hata hivi vitablet vyao vidogo vya inch 8 ambavyo unavipata hadi dola 199 vinaproject fresh tu.
Sawa sawa mkuu, hiyo idea nakubaliana nayo kabisa! Ila nikuulize swali kaka; mimi nimeexperience kitu ambacho huenda sijaeleweka. Katika screen hizo mbili yani unaweza ukafanya kazi independently kabisa, je kwa kutumia feature ya projector hilo lawezekana? Kwa sababu nijuavyo projector inatumia the same display kuonesha kwenye screen ingine. Hii nilouliza mm ni kitu tofauti, yani cpu ni moja na screen mbili zinaonesha tofauti na unaweza fanya vitu tofauti kbs
hajuna , ni settings tu na hizo vga cablesVP hakuna software yoyote itayotumika hapo?