mwanamichakato
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 1,169
- 1,073
Kumekuwa na tatizo la usimamiaji mabadiriko hasa ya kiuongozi hasa ktk taasisi nyingi zilizokumbwa na dhoruba ya viongozi wakuu au waandamizi kung'olewa/kutumbuliwa/kuenguliwa.
Mathalani waweza kuta wakati mwingine mwaka mzima umepita lakini kauli ya ubora/Miongozo/Dira/Dhima ya taasisi iliotolewa na kusainiwa kiongozi wa zamani vikining'inia katika kuta,mabango,kuta ,tovuti,n.k. Mfano mzuri ni TRA ambapo mpaka leo hii mabango yanayoning'inia yanamwelezea Ndugu Rished Bade kana kwamba ndio Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya mapato.
Marekebisho yafanyike ili kuhakikisha taarifa sahihi na kumbukumbu zinazokwenda na wakati zinawafikia wadau wa taasisi husika ili kutokupotosha umma,wadau,na wasiojua.Yapo madhara mengi katika hili {Kisheria,Kijamii,kimtazamo} japo mazoea ya kupuuzia yanawafanya wanaohusika kubweteka,kujisahau ama kutokuona umuhimu wa kufanya mabadiriko sanjali na uhalisia.
Mpaka sasa taasisi nyingi zimekumbwa na dhahama ya utumbuaji ama kutenguliwa kwa waandamizi kama TBS,TPA,TANESCO,TRA,n.k