Nilifundishwa kunyambulisha maneno kipindi nasoma kiswahili sekondari.
Kinachobeba neno najua kinaitwa Shina au Mzizi na yenyewe hakibadiliki.
Sasa hapo Shina ni mwanaume katika hayo manenp yako. Kwa maana hiyo Mwanaume remains unchanged kwenye maneno hayo wakati herufu za kike kama Fe,s,na wo unaweza kubadilisha.so mwanaume ndo msingi na mwanamke anatokana na mwanaume.