Ona mambo ya walimwengu

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,952
Reaction score
9,468

Picha mchanginyiko zipe maoni kutokana ulivyo ziona!!Kisiasa na kiuchumi!
 
picha yakwanza jamaa lazima atakua bwabwa
 
Huyo bibi kama vile nilimuona kwa JK siku zile akiongea na wazee wa DAR!!hawa hata uwaambie nini hawatakuelewa!
Walishakunywa maji ya Bender ya chama chao
 
bb anaonekana alishakunywa maji ya bendera ya magamba siku nyingi.yaka mlevya kweli kweli
 
Huyo bi mkubwa nadhani amekaririshwa tu. hajui alitendalo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…