miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kawaida ya wachaga kuwa na maumbo sexable!!
but kunako 6*6 nackia kuna less standard!!
kwanini ama wanawaza hela tu everytime?
Amejaaliwa. Sijui ndio atakuwa anatumia mafuta na sabuni za Samona Herbal ndio maana ana shine.
siri ya ngozi nyororo isokuwa na alama ni moja tu nimegundua,
upende kuvaa nguo ndefu yaani usichomwe na njua wala usije ukajiumiza kwa kujikwaruza mahali.
Lakini pia nunua mafuta ya swiss collagen pamoja na baby johnson baby oil usiweke glycerine ila changanya kidogo baby oil kwenye swiss collagen. upake mwili mzima kila eneo. YAANI utaushangaa unyororo wa ngozi yako.
mie siku hizi ngozi imekuwa kama ya mtoto mchanga hata makovu niliyopata kwenye ajali yamefutika kabisa najishangaa kwa jins ngozi ilivyokuwa nzuri.
unaguna nini sasa?
kawaida ya wachaga kuwa na maumbo sexable!!
but kunako 6*6 nackia kuna less standard!!
kwanini ama wanawaza hela tu everytime?
so mabaka yanaisha kabisa?na yanauzwaje?
am in LOVE with you....
acha fujo basi
acha fujo basi
ma lito bro Excellent hivi ulisha mwambia huyu Heaven on earth mimi ni nani??
mwambie kabisa kwamba dada yako niko hapa nakulinda asikufanyie fujo.
BTW nimekumiss sana mdogo wangu halafu sim yako haipatikan
My sis gfsonwin Sijamwambia bado ila nitamweleza leo,nimebadili number my sis na nitakutafuta usijali,nakupenda sanama lito bro Excellent hivi ulisha mwambia huyu Heaven on earth mimi ni nani??
mwambie kabisa kwamba dada yako niko hapa nakulinda asikufanyie fujo.
BTW nimekumiss sana mdogo wangu halafu sim yako haipatikan
haupo serious
nimekuzoea
teh teh haya bhana sirudii makosa